Nick Minaj na Mumewe kumlipa bilioni 1.2 mlinzi waliyempiga
Sisti Herman
March 24, 2024
Share :
Mamlaka za kisheria zimewataka rapa Nick Minaj na mumewe Kenneth Petty kumlipa $5000 (sawa na zaidi ya Bilioni 1.2 za Tanzania) mmoja wa walinzi waliowashtaki kwa kuwashambulia mwaka 2019, Weiden Muller kama fidia ya udhalilishaji.
Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ Nick Minaj na mumewe walifanya kosa hilo nchini Ujerumani mwaka 2019 na sasa wanalazimika kulipa mabilioni hayo.