pmbet

Nickson Kibabage tunaye na tunatamba naye.

Joyce Shedrack

July 4, 2024
Share :

Klabu ya Yanga imethibitisha kumuongezea mkataba beki wa kushoto Nickson Kibabage kwa mkataba wa miaka mitatu kuendelea kuitumikia klabu hiyo hadi mwaka 2027.
 

Kibabage amekuwa beki mahiri tangu ajiunge na wananchi akitokea Singida Big Stars.

Beki huyo amekuwa sehemu ya mafanikio ya kikosi cha Yanga kilichofika robo fainali ya michuano ya Ligi ya mabingwa Afrika, kutwaa ubingwa wa Ligi ya Tanzania Bara na michuano ya Kombe la Shirikisho nchini.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet