pmbet

"Nilikataa Mzize asiende Singida" Zahera

Sisti Herman

August 13, 2025
Share :

 

“Yanga walishataka kumpeleka Clement Mzize huko Singida kwa mkopo na tayari walishamuingiza kwenye Mfumo 'system' ya TFF ila ni mimi nikamwambia Nabi usikubali huyo Mtoto aende Singida."

"Walitaka kumtoa wakati hajafanya hata mazoezi na timu kubwa.Hata Marseille walipotuma barua kumtaka, wao wakasema tumpeleke Singida tu maana Wachezaji watapatikana wengine”

Mwinyi Zahera, Kocha wa zamani wa Young Africans kuhusu sakata la Mzize alipoihojiwa na Kituo cha ITV

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet