pmbet

"Nimeinunua Simba miaka mitano iliyopita" - Mo Dewji

Sisti Herman

February 29, 2024
Share :

Rais wa heshima na mwekezaji wa klabu ya Simba, Mohamed Dewji akiwa kwenye mahojiano na mwandishi wa habari za kidijitali Ahmad Mahmood amesema kuwa biashara kubwa zaidi aliyowahi kuifanya ni kuinunua klabu ya Simba miaka mitano iliyopita.

 

“Kitu cha gharama nilichowahi kununua ni klabu ya soka, inaitwa Simba yenye mashabiki zaidi ya milioni 35 miaka mitano iliyopita na nimeisaidia kuwa moja kati ya timu 10 bora Afrika” alisema Dewji alipoulizwa kuhusu kitu cha gharama alichowahi kununua kwenye maisha yake.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet