"Nimekuwa nikitamani Messi angekuwa Mbrazil" – Ronaldo de Lima
Eric Buyanza
July 25, 2024
Share :
"Siku zote nimekuwa nikitamani Messi angekuwa Mbrazil. Hata katika umri wake huu wa sasa, ameleta ubora kwenye mchezo ambao wachezaji wengi wachanga wamekuwa wakiuota tu" amesema Ronaldo Luís Nazário de Lima (Mchezaji mkongwe wa Brazil)