pmbet

"Nimemwambia Perez amsajili Olise yupo kama Messi"-Makelele.

Joyce Shedrack

July 17, 2026
Share :

Nguli wa soka la Ufaransa aliyewahi kuichezea Real Madrid, Claude Makélélé amefichua kuwa alimshauri rais wa klabu hiyo, Florentino Pérez kufanya kila linalowezekana kumsajili nyota wa Kifaransa Michael Olise.

Makelele : « J'ai dit à Florentino Pérez que s'il n'y avait de l'argent à  dépenser que pour un seul joueur, il fallait le dépenser pour Olise » -  Elbotola

Makélélé amesema anaamini Olise ni miongoni mwa vipaji vya kipekee vinavyoweza kubadili mchezo kwa ubora wake akimfananisha na gwiji Lionel Messi kutokana na uwezo wake wa kufanya mambo yasiyotegemewa uwanjani.

 

"Yupo kama Messi, anaweza kufanya kitu ambacho hakuna anayetarajia ndiye mchezaji wa karibu zaidi tuliyenaye kwa Ronaldo Nazário," 

 

"Nilimwambia Florentino Pérez kwamba kama angeamua kutumia fedha kwa mchezaji mmoja, basi angepaswa kumsajili Michael Olise," amesema Makelele.

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet