NImenunua 'Toy' nyingine ya kucheza nayo angani - Mayweather
Eric Buyanza
July 19, 2024
Share :
Bondia mtata wa marekani, Floyd Mayweather amenunua ndege nyingine mpya na hizi ndizo tambo zake;
“Nimenunua ndege nyingine, nitakuwa nacheza nayo angani....nitaendelea kujiweka kwenye kiwango cha juu huku wakiendelea kuomba juu ya anguko langu. Ndege 2 zinawapa sababu 2 ndogo zaidi za kuchukia.” anamalizia Floyd.