pmbet

Nimeshawahi kumloga Diamond - Lukamba

Eric Buyanza

December 5, 2023
Share :

Aliyekuwa mpiga picha wa mwanamuziki maarufu zaidi Afrika mashariki Diamond Platinumz, Lukamba, ambaye kwasasa amegeukia rasmi kwenye uimbaji amethibitisha kuwa alishawahi kutumia ndumba (uchawi) ili kuongeza kuaminiwa na mwajiri wake huyo wa zamani.
 

"Nimeshawahi kumloga Diamond baada ya vita ya ushindani kuwa kubwa kati ya sisi wapiga picha, ili kila akiniona asiwaze mtu mwingine" alisema Lukamba akijibu swali la mtangazaji (Transformer wa EFM).
 

Pia mwimbaji huyo chipukizi ameongeza kuwa msanii aliyetambulishwa majuzi na kundi WCB, Dvoice hana uwezo mkubwa kumzidi yeye.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet