"Nimesimama muziki nafanya biashara ya madini" - Mbasha
Eric Buyanza
May 31, 2025
Share :
Mwanamuziki wa nyimbo za Injili Emmanuel Mbasha amevunja ukimya na kuanika sababu zilizomfanya awe kimya kwenye muziki huo.
“Sijaacha kufanya muziki, ila kwasasa nimesimama kwa muda sitaki kufanya chochote kinachohusiana na muziki badala yake nafanya biashara ya madini ambayo ilikuwa ni ndoto yangu tangu muda mrefu,” amesema Mbasha.
MWANASPOTI