pmbet

Ninja ajiunga rasmi na FC Lupopo ya Congo

Sisti Herman

July 25, 2024
Share :

Aliyekuwa beki wa klabu ya Yanga na timu ya Taifa Tanzania 'Taifa Stars' na 'Zanzibar Heroes' Abdallah Shaibu 'Ninja' amejiunga na kutambulishwa na klabu ya FC Saint Eloi Lupopo ya ligi kuu ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.

Ninja ambaye aliwahi kucheza pia kunako miamba ya soka nchini Marekani LA Galaxy 'B' alirejea Yanga misimu miwili iyliyopita kabla ya kutimkia Congo kuchezea Lubumbashi Sports ambapo alimaliza mkataba wake.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet