pmbet

"Nitamla Cucurella akiwa hai uwanjani"-Lamine Yamal.

Joyce Shedrack

July 2, 2026
Share :

Uhasama unaochipukia wa El Clásico kati ya nyota wa FC Barcelona, Lamine Yamal, na beki wa Real Madrid Marc Cucurella umeendelea kushika kasi.

May be an image of soccer, football, cleats and text

Yamal amezua gumzo baada ya kumtania mchezaji mwenzake wa timu ya taifa kwa kauli ya kujiamini akisema atamla akiwa hai uwanjani.

 

"Nimemwambia Cucurella kwamba ataanza katika El Clásico ya kwanza, lakini katika ya pili atakuwa benchi kwa sababu nitamla akiwa hai uwanjani."Amesema Lamine Yamal.

 

Kauli hiyo imeongeza hamasa kuelekea pambano la El Clásico, huku mashabiki wakisubiri kuona kama Yamal ataweza kuthibitisha maneno yake dhidi ya beki huyo katika mechi zijazo akiwa na uzi wa Real Madrid.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet