pmbet

Nitapata watoto nikiwa tayari - Burna Boy

Eric Buyanza

May 16, 2024
Share :

Nyota wa muziki wa Afro Beat kutoka Nigeria, Damini Ogulu (Burna Boy), amefunguka kwanini kwasasa hayuko tayari kupata watoto 'kuwa Baba'.
 

Kwa mujibu wa msanii huyo mwenye miaka 32, anasema inakua ngumu kwake kutokana na shughuli zake na kuwa hataweza kuwapa uangalizi unaostahili watoto hao.
 

“Umemuona mama yangu jinsi anavyonipenda? Umemuona baba yangu jinsi anavyonipenda? Najua siwezi kutoa mapenzi kama hayo kwa watoto wangu kwasasa kutokana na maisha ninayoishi.
 

"Nidhani watoto wangu watastahili malezi bora kuliko niliyopata mimi”…..“Nitapata watoto nitakapokuwa nmetulia au nitakapooa” anamalizia.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet