pmbet

"Nitasistisha vita kama Marekani itaacha kupeleka silaha Ukraine" - Putin

Sisti Herman

February 9, 2024
Share :

Rais wa Urusi Vladimir Putin kwenye mahojiano ya ana kwa ana na mtangazaji wa televisheni ya Marekani Tucker Carlson ametoa wito kwa Marekani kusitisha mapigano nchini Ukraine ili kushinikiza amani huku akisisitiza kuchukua hatua mbaya zaidi kama nchi hiyo itaendelea kushinikiza vita kwa kupeleka majeshi yake Ukraine. 

 

“Lazima tutafute njia ya kutoka katika hali hii, Mawasiliano fulani yanadumishwa, Ikiwa mtu fulani ana nia ya kutuma wanajeshi wa kawaida, hilo bila shaka litaleta ubinadamu kwenye ukingo wa mzozo mbaya sana wa kimataifa, kama kweli mnahitaji tusitishe vita acheni kupeleka silaha Ukraine" alisisitiza Putin akimwambia mwanahabari huyo raia wa Marekani.

 

 

Hayo ni mahojiano ya kwanza ya Putin na mwanahabari wa nchi za Magharibi tangu Urusi kuivamia Ukraine mnamo Februari 2022.

 

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet