pmbet

Niyonzima awa kocha Atletico Madrid nchini Rwanda

Sisti Herman

February 22, 2026
Share :

 

Aliyekuwa nyota wa Yanga SC, Simba SC na timu ya taifa ya Rwanda Haruna Niyonzima ameteuliwa kuwa mmoja kati ya makocha wa programu za soka za timu ya Atletico Madrid ya Hispania kushirikiana na shirikisho la soka nchini Rwanda.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, nyota huyo aliishukuru serikali ya Rwanda kupitia wizara ya michezo na shirikisho la soka nchini humo FERWAFA kwa kuweza kumpa nafasi hiyo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet