pmbet

Nkane kutimkia Dodoma

Sisti Herman

December 26, 2023
Share :

Taarifa kutoka chanzo cha kuaminika ndani ya klabu ya Yanga zimedokeza kuwa kuna uwezekano mkubwa winga teleza wa klabu hiyo Denis Nkane akatolewa kwa mkopo kwa walima zabibu klabu ya Dodoma Jiji.

 

Nkane ambaye alitoka Biashara United na kutazamiwa kuwa nyota wa wakati ujao ndani ya kikosi cha wananchi ameshindwa kupata nafasi ya kuanza mara kwa mara kwa mabingwa hao mara nyingi zaidi wa ligi kuu Tanzania bara.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet