pmbet

Nouma ampa Zimbwe Maua yake

Sisti Herman

January 20, 2025
Share :

"If you can't beat them join them" ni Msemo wa kiingereza unamaanisha kuwa "kama huwezi kumshinda mshindani wako basi ungana nae"

Haya yametafsiriwa kutokana tukio la beki wa kimataifa wa kushoto wa Simba Valentino Nouma kushapisha picha akiwa mazoezini na beki mwenzake wa kushoto Mohammed Hussein 'Zimbwe' na kuandika maneno "Mwalimu na mwanafunzi wake".

Wengi wameitafsiri kauli hiyo kama Nouma beki wa kimataifa wa Burkina Faso kuonyesha heshima kubwa kwa mshindani wake Zimbwe ambaye amekuwa akipata nafasi mara kwa mara zaidi yake.

@official_mohamedhussein15 chukua maua yako, GWIJI.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet