pmbet

Núñez akejeli wamiliki wa Al Hilal baada ya kufuñga mawili

Sisti Herman

February 18, 2026
Share :

 

Baada ya kufunga mabao mawili (brace) katika Ligi ya Mabingwa Asia (AFC), Darwin Núñez aligeuka na kuelekeza macho yake moja kwa moja kwenye jukwaa la mmiliki wa klabu.

Mshambuliaji huyo alionyesha hisia kali baada ya kupachika mabao hayo, jambo ambalo limezua tetesi kuhusu uhusiano wake na uongozi wa juu wa klabu, huku mashabiki na wachambuzi wakijiuliza nini hasa maana ya ishara hiyo.

Wengi wamesema suala hilo linaashiria kuwa kejeli kwa wamiliki wa timu waliomsajili Karim Benzema na kumuona yeye hatoshi

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet