pmbet

Nyota wa Cameroon afumaniwa Urusi.

Joyce Shedrack

November 11, 2025
Share :

Kiungo mshambuliaji wa timu ya taifa Cameroon, Nicolas Ngamaleu amefumaniwa na mpenzi wake ambaye ni mtengeneza maudhui na msanii wa muziki nchini Urusi, Nikki Seey.
Cameroon call-up Ngamaleu to replace uninterested Mughe - Paris 2024
Ngamaleu anayeitumikia klabu ya Dynamo Moscow ya Urusi amejikuta katika wakati mgumu baada ya tukio hilo la aibu nchini Urusi.

Nikki alipata taarifa ya Ngamaleu kuwa na mahusiano siku chache baada ya sherehe yake ya kuzaliwa na alikwenda kumhoji na kugundua kuwa Ngamaleu alikuwa na mwanamke mwingine ndani kwenye nyumba waliyokuwa wakiishi pamoja.

Ngamaleu katika kujaribu kuokoa jahazi, akamzuia mpenzi wake huyo asiingie ndani, akidai ametembelewa na mjomba wake.

Nikki aliwaita polisi na kuingia nao ndani kwa ulazima na wakamkuta mwanamke mwingine na sio mjomba kama alivyosema Ngamaleu.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet