pmbet

Offset apigwa risasi akiwa Casino.

Joyce Shedrack

April 7, 2026
Share :

Msanii wa Muziki Wa Hip-Hop Kutoka Nchini Marekani @offsetyrn ameripotiwa kupigwa risasi karibu na casino maarufu ya Seminole Hard Rock Hotel & Casino huko Hollywood, Florida. Kwa mujibu TMZ, tukio hilo linadaiwa kutokea siku ya Jumatatu karibu na eneo hilo la casino.
Rapper Offset in hospital after shooting in Florida | CBC News
Hata hivyo, mpaka sasa haijawekwa wazi sababu iliyopelekea tukio hilo, wala kama kuna majeraha yoyote makubwa yaliyopatikana.

Mtu wa karibu na rapa huyo amethibitisha kuwa Offset kwa sasa yuko salama na anaendelea vizuri, ingawa mamlaka bado zinaendelea kuchunguza kilichosababisha tukio hilo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet