Okrah na Yanga mambo fresh
Sisti Herman
December 28, 2023
Share :
Inasemekana klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa winga wa zamani wa Simba na Al Hilal Augustin Okrah kwa mkataba wa miaka miwili kutokea Benchem United ya nchini Ghana.
Okrah amekuwa na msimu bora tangu kurejea ligi ya Ghana.