Okwi MVP wa AS Kigali 2024/25
Sisti Herman
June 10, 2025
Share :
Klabu ya AS Kigali ya Rwanda imemchagua mchezaji nguli wa zamani wa klabu ya Simba, Yanga a timu ya Taifa ya Uganda, Emmauel Okwi kuwa mchezaji bora wa msimu wa klabu hiyo.
AS Kigali imemaliza nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi kuu nchini humo.