pmbet

Olise ashindwa kuzuia tabasamu baada ya swahiba kutwaa tuzo

Eric Buyanza

October 27, 2026
Share :

Wakati jana usiku Ronaldo Nazário alipotangaza kuwa Harry Kane ndiye mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or, wagombea wengine wote wa tuzo hiyo waliokuwepo ukumbini walionekana wakiwa na sura za huzuni, isipokuwa mmoja. Michael Olise ndiye pekee aliyeendelea kutabasamu, akifurahi kwa dhati kwa ajili ya rafiki yake.
 

Mchezaji huyo Mfaransa huwa hatabasamu mara kwa mara. Hata anaposhinda taji, ni nadra sana kuona akitabasamu. Lakini kumuona rafiki yake wa karibu akiwa na furaha kulimfanya ashindwe kujizuia kushiriki furaha hiyo.

 

Hii ni ishara ya uungwana wa kweli na kielelezo cha juu kabisa cha heshima.
 

TUNAKUPA HESHIMA YETU, OLISE

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet