pmbet

Ollie Watkins ashindwa kushangilia Villa kwenda UEFA kisa Arsenal kukosa EPL

Sisti Herman

May 15, 2024
Share :

Kituko...! Mara baada ya jana klabu ya Tottenham Hotspurs kupoteza kwa 2-0 dhidi ya Manchester City, klabu ya Aston Villa ilijiahakikishia nafasi ya kufuzu michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya msimu ujap (UEFA) baada ya kufikisha alama ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine yoyote ili kuwaondoka kwenye nafasi ya 4.

Kituko ni wakati wachezaji na watumishi wa Aston Villa wakishangilia, mshambuliaji wao kinara Ollie Watkins hakuonekana na furaha kwani ushindi wa City mbele ya Spurs unainyima nafasi Arsenal ambayo ni timu anayoshabikia toka utotoni kubwa Bingwa wa Uingereza kwa msimu wa 20 mfululizo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet