pmbet

Onana kucheza mechi 2 kwenye mabara mawili tofauti ndani ya siku moja

Sisti Herman

January 4, 2024
Share :

Kipa wa timu ya Taifa ya Cameroon inayojiandaa na michuano ya kombe la mataifa ya Afrika (AFCON), André Onana amekubali kucheza mechi 2 katika muda wa saa 24 baada ya timu yake ya Taifa kuridhia ombi la klabu yake ya Manchester kuomba kumtumia kwenye mchezo wa ligi kuu England siku moja kabla ya mchezo wa AFCON

Onana atalazimika kusafiri hadi Manchester na kucheza mchezo wa ligi utakaochezwa Januari 14 dhidi ya Totenham Hotspurs na kisha kurejea Ivory Coast kucheza mchezo wa AFCON na timu yake ya Taifa dhidi ya Guinea ambao utapigwa Januari 15.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet