P Diddy awakacha polisi ,watoto wake wakamatwa
Joyce Shedrack
March 26, 2024
Share :
Majumba ya Rapa kutoka Nchini Marekani P Diddy yamevamiwa na Jeshi la Polisi masaa machache yaliyopita wakimsaka staa huyo na kufanya uchunguzi kwa makosa yanayomkabili, Polisi hao waliishia kuwakamata watoto wake baada ya lengo la kumkamata P Diddy kugonga mwamba.
Fuatilia zaidi kwenye video hapo chini.