Pacome aanza matizi Ivory Coasta
Sisti Herman
March 21, 2024
Share :
Wakati msemaji wa klabu ya Yanga akibainisha kuwa bado kuna hatihati ya asilimia 50 kwa timu hiyo kumtumia kiungo wakemshambuliaji Pacome Zouzoa kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Mamelod Sundowns, kiungo huyo ameonekana kwenye mazoezi ta timu ya Taifa lake la Ivory Coast iliyoweka kambi nchini Ufaransa kwaajili ya mechi za kirafiki.
Ali Kamwe amesema kuwa klabu yao inasubiri taarifa ya madaktari waTimu ya Taifa Ivory Coast kuthibitisha ukubwa wa jereha kake.