pmbet

Pacome atupa magongo, aanza kutembea mwenyewe

Sisti Herman

October 1, 2026
Share :

 

Kiungo Mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua ameanza kutembea mwenyewe na kuweka pembeni magongo aliyokuwa akiyatumia katika kutembea.

 

Pacome raia wa Ivory Coast aligongana na mchezaji wa JKT Tanzania Hassan Wahabi katika mchezo wa mwisho wa ligi uliochezwa katika Uwanja wa Meja Isamuhyo, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

 

Nyota huyo leo asubuhi alionekana katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika kwenye Uwanja wa KMC Complex, lakini yeye hakufanya mazoezi hayo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet