Pacome ni mali ya Yanga hadi mwaka 2027.
Joyce Shedrack
July 24, 2025
Share :
Kiungo Mshambuliaji wa Yanga raia wa Ivory Coast Pacome Zouzoua ameongeza mkataba mpya wa kusalia klabuni hapo hadi mwaka 2027.
Wananchi wanaendelea kuwatangaza nyota wao waliongeza mikataba na maingizo mapya kuelekea msimu mpya wa mashindano.