pmbet

Palmer mchezaji bora chipukizi wa Msimu

Joyce Shedrack

May 18, 2024
Share :

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Chelsea Cole Palmer raia wa Uingereza ametwaa tuzo ya mchezaji bora chipukizi wa ligi kuu Uingereza msimu wa 2023/34.

 

Palmer ambaye alitokea Man City dirisha kubwa usajili lililopita hadi sasa msimu huu akiwa na Chelsea amecheza mechi 33 na kufunga mabao 22 huku akitoa pasi za mabao 10.

 

Palmer amewazidi Phil Foden wa Man City, Erling Halland wa Man City, Alexander Isak wa Newcastle, Kobe Mainoo wa Man Utd, Destiny Udogie wa Tottenham, Bukayo Saka na Wiliam Saliba wa Arsenal.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet