"Pamoja na kuzurura kote, kwa mke wangu huyu Leila nimefika Kigoma" - Mzee Yusuph
Eric Buyanza
July 24, 2024
Share :
Alikuwa anapenda kuoa na kuacha, vipi siku hizi, yule Mzee Yussuf ndio yule yule?
“Niko hapa ni mimi huyu huyu ninayeongea hapa, sema pamoja na kuzurura kote kwa kuoa na kuacha, ila kwa mke wangu huyu, Leila Rashid nimefika kigoma mwisho wa Reli, nimemuoa tangu mwaka 2004, hadi leo tuna miaka 20 kwenye ndoa, wapo waliokuja na kuondoka wakamuacha sasa nitake nini tena mimi jamani.”
👉MWANASPOTI