Papa Leo atoka hospitali baada ya upasuaji wa mapafu
Sisti Herman
October 22, 2026
Share :

Kulingana na madaktari wanaomhudumia Papa Leo XIV, Baba Mtakatifu huyo hahitaji matibabu zaidi baada ya kufanyiwa upasuaji siku chache zilizopita, wa kuondoa uvimbe wa saratani kwenye mapafu yake.
“Uchunguzi wa saratani umethibitisha kuwa hakuna haja ya matibabu zaidi,” taarifa hiyo ilisema.
Papa Leo XIV, aliruhusiwa kutoka hospitali ya Gemelli jijini Roma, baada ya kufanyiwa upasuaji wa mapafu.





