pmbet

Papa Leo XIV atinga kapelo Vatican

Sisti Herman

June 13, 2025
Share :

 

Kiongozi wa ngazi ya juu wa kanisa katoliki Duniani Papa Leo XIV katika hali ya tofauti ameonekana Vatcan huko Italia akiwa amevalia kofia ya kawaida tofauti na zile ambazo zimekua zikitumiwa na viongozi hao.

Papa Leo alivalia kofia nyeusi ya White Sox 47 , iliyotengenezwa na chapa maarufu ya nguo za michezo za Marekani '47 - huku akiwa na hadhira ya jumla katika Medani ya St. Peter's katika Vatikani huko Roma.

PIcha ya Pope iliyochapishwa kwenye ukurasa rasmi wa instagram wa Chicago White Sox na kuwekewa maneno "pope in cap" imepata likes 53,600.

Baba Mtakatifu alilelewa katika Upande wa Kusini wa Chicago. Alisoma katika shule za Kikatoliki na Muungano wa Kitheolojia wa Kikatoliki, kisha alihudumu katika eneo hilo kama mwalimu na parokia.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet