pmbet

Patoranking arudisha kwa jamii, ajenga uwanja wa soka mtaani kwake

Eric Buyanza

July 1, 2024
Share :

Nyota maarufu wa muziki wa Dancehall kutoka Nigeria, Patoranking, kwa kuonyeha upendo kwa watu wake amejenga uwanja mdogo wa mpira wa miguu jijini Lagos katika eneo alilokulia la Ebute.

Msanii huyo anasema aliamua kujenga uwanja huo kwa mapenzi aliyonayo kwa eneo hilo ambalo limemkuza kabla hajawa mwanamuziki, na vilevile kurudisha shukrani kwa jamii inayomzunguka.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet