pmbet

Pazito leo Afrika Kusini nani kutinga fainali ya CAFCL?.

Joyce Shedrack

April 18, 2026
Share :

Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika inaendelea siku ya leo kwa michezo miwili ya mkondo wa pili wa nusu fainali ambapo Mabingwa mara nne wa michuano hiyo Esperance de Tunis atakuwa ugenini kuwakabili  Mamelodi Sundowns katika dimba la Loftus Versfeld, Pretoria saa 10:00 jioni.

Mamelodi Sundowns vs Esperance de Tunis Preview: Kick-off time, TV channel  & squad news | Goal.com South Africa

Esperance de Tunis ushindi wa aina yoyote ili kukata tiketi ya fainali baada ya kukubali kichapo cha goli 1-0 wakiwa nyumbani.

 

Nani atafuzu fainali ya mashindano  hayo makubwa Afrika?.

 

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet