"Pendelea kutembelea ofisini kwa mkeo, ili kuona kama kuna mtu anafanana na wanao"
Eric Buyanza
December 28, 2023
Share :
Mwanasheria mmoja maarufu nchini Nigeria aitwae Ebikebuna Augustine Aluzu amewashauri wanaume wenzake jambo moja ambalo limezua mjadala kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii nchini humo.
Akitoa ushauri huo kupitia mtandao wake wa kijamii wa X, Bwana Augustine anakutaka wewe mwanaume mwaka unaokuja wa 2024 upende kujenga mazoea ya kutembelea ofisini kwa mke wako mara moja moja ili kuona kama watoto wako wanafanana na mtu yoyote anayefanya kazi na mkeo.
Wewe unasemaje? hii si vita hii???!!!!