pmbet

Penzi la Harmonize na Poshy Queen ndo basi tena.

Joyce Shedrack

August 6, 2024
Share :

Msanii wa muziki wa bongofleva Harmonize anadaiwa kuachana na mpenzi wake Poshy Queen baada ya kublokiana kwenye mtandao wa Instagram na kila mmoja kumu-unfollow mwenzake huku wakifuta picha zote pamoja na video ambazo wamewahi kupiga pamoja.

Wawili hao ambao kwa sasa wana miezi saba tangu walipoanza  mahusiano yao Januari mwaka huu hii sio mara ya kwanza kuachana kwa staili hii kwani mwezi Februari kila mmoja alifuta picha na kumu-unfolow mwenzie kabla ya siku chache baadae kurudiana tena.
 

Haya yanakuwa mahusiano ya tano ya kwa msanii huyo kuvunjika kwa yale ambayo amewahi kuyaweka hadharani  ya kwanza yakiwa ni yale ya muigizaji Jacqueline Wolper, Sarah Michelotti kutoka Italia, Kajala na Yolo The Queen kutoka Rwanda.
.
.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet