Pep Guardiola kuondoka Manchester City mwishoni mwa wiki hii
Sisti Herman
May 18, 2026
Share :

Gazeti la Mirror la Uingereza limetangaza kuwa kocha mkuu wa Manchester City Pep Guardiola amewaambia mabosi wa timu hiyo kuwa anaondoka rasmi mwishoni mwa wiki hii.
Aliyekuwa msaidizi wake na kocha wa zamani wa Chelsea na Leicester City Enzo Maresca ametajwa kuwa mrithi wa mikoba ya Pep pale Etihad.





