pmbet

Pepe, nguli wa Real Madrid anayekwenda kuwa msaidizi wa Mourinho

Eric Buyanza

June 8, 2026
Share :

Nahodha wa zamani wa Ureno, Pepe, anatarajiwa kurejea Real Madrid kama msaidizi wa kocha Jose Mourinho.

Nguli huyo mwenye umri wa miaka 63 sasa ataungana na Pepe huko Bernabeu.

 

Moja ya majukumu yake itakuwa kuwaimarisha wachezaji kiakili,kuweka sawa mpangilio wa timu na kuboresha mawasiliano miongoni mwa wachezaji.

Pepe, aliyeichezea Madrid kati ya 2007 na 2011 na kustaafu soka mwaka 2024.

 

Ikumbukwe kuwa Mourinho alimfundisha Pepe kwa misimu mitatu mfululizo kuanzia mwaka 2010 hadi 2013. 
Katika kipindi hicho, Pepe alikuwa nguzo muhimu sana kwenye safu ya ulinzi ya Real Madrid.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet