pmbet

Perez aanza mchakato wakuuza hisa Madrid

Sisti Herman

November 12, 2026
Share :

 

Raisi wa Real Madrid Florentino Pérez ameripotiwa kuwa na mpango wa kuiboresha Real Madrid zaidi kiuchumi kwa kuuza sehemu ndogo ya umiliki wa klabu kwa wawekezaji wa kifedha ili kuongeza ukwasi wa fedha (financial liquidity).

Licha ya Florentino kuwa bado hajautangaza rasmi mpango huo hadharani, lakini ripoti hizo zimebainisha kuwa bilionea Mfaransa Bernard Arnault ametajwa kuhusishwa na Real Madrid kama mtu anayeweza kuongoza kundi la wawekezaji watakaonunua sehemu hiyo ndogo ya umiliki wa klabu.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet