Pesa za uwanja mlizochanga tumejenga ukuta - Mangungu
Sisti Herman
January 21, 2024
Share :
"Kama mnakumbuka mlichanga pesa kwa ajili ya ujenzi wa uwanja na pesa ile ilitumika kujenga ukuta wa uwanja wa Bunju na pesa zingine zilitumika kuimarisha kambi ya timu." "- Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu.
Mangungu ameyasema hayo kwenye mkutano mkuu wa mwaka wa Simba uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC).