Pesa zipo benki Selemani Mwalimu ni Mwnanchi.
Joyce Shedrack
August 11, 2026
Share :
Klabu ya Yanga imemtambulisha mshambuliaji Selemani Mwalimu kutoka wamemtambulisha mshambuliaji Selemani Mwalimu ‘Gomez’ kama mchezaji wao licha ya awali Simba kuthibitidha kuwa ni mali yao kuelekea msimu ujao wa 2026/27 wa mashindano baada ya kudai wamefikia makubaliano na Wydad Casablanca ya Morocco.

Meneja wa habari na mawasiliano wa Simba alithitibitisha hayo Agosti 08, 2028 kwenye tamasha la Simba Day 2026 na kubainisha kuwa mshambuliaji huyo wa Kimataifa wa Tanzania kwasasa yupo angani akirejea Tanzania kutoka Morocco.





