Phiri atambulishwa Dynamos
Sisti Herman
February 1, 2024
Share :
Mshambuliaji wa klabu ya Simba Moses Phiri amejiunga rasmi na Power Dynamos ligi kuu Zambia kwa mkopo wa miezi 6.
Phiri amejiunga na timu hasimu ya chama lake la zamani Zanaco Fc ambao ni watani wa jadi katika mji wa Kitwe na atakutana na timu yake hiyo ya zamani kabla ya kujiunga na Simba kwenye Kitwe Derby.