Picha mpya za Marioo zawakosha mashabiki wamruhusu aachie ngoma.
Joyce Shedrack
December 12, 2025
Share :
Mwanamuziki wa Bongofleva Marioo amepewa kibali na mashabiki wa muziki Nchini kutoa ngoma mpya baada ya kuchapisha picha akiwa akiwa amevaa tisheti yenye maandishi “OH MUNGU NISAMEHE”.

Pia picha hiyo ikiwa imeambatana na ujumbe “OLUWA BELIEVE ME I GO CHANGE ikiwa na maana ya kuwa Mungu nitabadilika”.
Huenda haya ni maneno yapo kwenye wimbo wake mpya au ni shinikizo baada ya mashabiki zake kutaka awaombe msamaha ili waendelee kuupa nguvu muziki wake .





