Pigo kubwa kwa Manchester United!
Eric Buyanza
December 28, 2023
Share :
Bei ya Joao Neves sasa inakaribia kufikia €150m huku Benfica ikiendelea na mazungumzo ya kuongeza nae mkataba, mazungumzo ambayo yanaweza kumlazimisha Erik ten Hag kutafuta mbadala.
Kiungo huyo wa kati wa Ureno mwenye umri wa miaka 19 amekuwa akihusishwa kuhamia Manchester United.