Pirlo kocha mpya wa timu ya Taifa ya Italia
Sisti Herman
July 26, 2026
Share :

Gwiji wa soka la Italia Andrea Pirlo amepewa jukumu zito la kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Italia hadi 2030.
Pirlo atajumuika na Roberto Baronio kama sehemu ya wasaidizi wake huku Paolo Maldini na Leonardo wakiwa watu muhimu wa idara ya ufundi wa shirikisho la soka Italia.





