pmbet

PMBET kuidhamini klabu ya Singida Black Stars

Eric Buyanza

July 9, 2024
Share :


Kampuni bora zaidi ya michezo ya kubashiri nchini, PMBET inayofuraha kuwatangazia kuwa imefikia makubaliano ya kiudhamini na klabu ya Singida Black Stars inayoshiriki ligi kuu ya soka Tanzania Bara.
 

PMBET imekuwa ikijihusisha na masuala ya michezo ya ubashiri unaofanywa mtandaoni kupitia tovuti ya www.pmbet.co.tz na maduka mbalimbali yaliyopo kote nchini huku pia ikipendwa zaidi kutokana na promosheni zake kubwa za Super Royal Sports na Royal Win Plus ambazo huhusisha zawadi za mamilioni ya fedha na magari ambayo hutolewa kwa washindi .
 

Udhamini huu ni wa muda wa mwaka mmoja kutoka hivi sasa, ukidumu kwa msimu wa 2024/25.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet