pmbet

Pochettino kuitazama Tottenham baada ya mashabiki kutaka arudi

Eric Buyanza

March 10, 2026
Share :

Kocha wa timu ya taifa ya Marekani USA, Mauricio Pochettino, anatarajiwa kuangalia mechi ya timu yake ya zamani, Tottenham, dhidi ya Atletico Madrid usiku wa leo kwenye Ligi ya Mabingwa barani Ulaya.

 

Pochettino atakuwa mgeni wa Atletico Madrid kwenye uwanja wa Metropolitano.


Hii itakuwa mara ya kwanza kwa Pochettino kuangalia mechi ya Tottenham tangu aondoke klabuni hapo mwaka 2019. Pochettino amehusishwa na kurudi Tottenham kama kocha mkuu, hasa baada ya Thomas Frank kuondolewa kwenye nafasi hiyo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet