pmbet

Pogba aripotiwa kujiunga na timu ya Ligi daraja la 3 Ureno

Sisti Herman

April 3, 2025
Share :

 

Klabu ya Leca FC ya ligi daraja la tatu ya nchini Ureno imetangaza ramsi kumsajili aliyekuwa kiungo wa klabu ya Manchester United, Juventus na timu ya Taifa ya Ufaransa Paul Pogba.

Baada ya hukumu yake ya kutumia dawa za kuongeza nguvu michezoni kufupishwa na kuisha, kiungo huyo alitangaza kuvunja mkataba wake na Juventus na akawa mchezaji huru kujiunga na timu yoyote wakati wowote.

Pogba ni mshindi wa kombe la dunia, aliloshinda mwaka 2018 akiwa na timu ya Taifa ya Ufaransa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet