pmbet

Pogba: Man United mvumilieni Pochettino

Sisti Herman

November 27, 2026
Share :

 

Paul Pogba ameonyesha kuunga mkono uteuzi wa Mauricio Pochettino, lakini anasisitiza kuwa Man Utd lazima wampe muda:

 

🗣️ “Nimefurahi kwamba Pochettino amekwenda huko kwa sababu naamini yeye ni kocha mahiri. Lakini nadhani tunahitaji tu kuipa muda timu hii. Tunajua kuna mashabiki wengi kote duniani na sote tunataka Man Utd ishinde."

 

🤝 "Kwa mtazamo wangu kuhusu timu hii—na mimi nimeshawahi kuwa huko—ni kwamba unahitaji muda; unahitaji kurekebisha mambo ya ndani.


Kila mtu anapaswa kuwa na mtazamo mmoja na kumpa kocha muda wa kufanya kazi yake."

Kupitia TalkSPORT

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet