pmbet

Polisi wavamia nyumba ya P Diddy

Sisti Herman

March 26, 2024
Share :

Nyumba za Mfanyabiashara na Mwanamuziki Sean "Diddy" Combs zilizopo Los Angeles na Miami zimevamiwa na Maafisa Usalama ikidaiwa wanafanya uchunguzi na upekuzi kuhusu tuhuma za Biashara ya Ngono na Biashara ya Binadamu zinazotajwa kuhusu staa huyo.

 

Maafisa wa HSI ambacho ni Chombo Kikuu cha Uchunguzi cha Idara ya Usalama wa Taifa ya Marekani wamewafunga pingu baadhi ya Watu waliokutwa katika nyumba ya Los Angeles wakiwemo Watoto wa Diddy ambao ni King na Justin huku baba yao akiwa hajulikani alipo.

 

Inadaiwa ndege Binafsi ya Diddy imeonekana ikielekea Visiwa vya Caribbean kwa mujibu wa Tovuti ya Flight Tracking Data.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet